Muunguzi mwenye umri wa miaka 32 alifariki katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, kutokana na ugonjwa wa Ebola, wizara ya afya ya nchi hiyo ilithibitisha siku ya Alhamisi. Wizara ya Afya ya Uganda ...
Maafisa wa Uganda wanajiandaa kupeleka chanjo ya majaribio kama sehemu ya juhudi za kukomesha mlipuko wa Ebola katika mji mkuu, Kampala, afisa mkuu wa afya amesema siku ya Jumapili. Kundi la ...
Wizara ya afya ya Uganda imetangaza Alhamisi kuwa Kampala inakabiliwa na mlipuko wa Ebola ambao umesababisha kifo cha mtu mmoja katika mji mkuu, Kampala. "Mlipuko unaosababishwa na ugonjwa wa ...
Dar es Salaam. Wizara ya Afya Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.
Zaidi ya watu milioni moja laki mbili walio na virusi vya UKIMWI nchini Uganda wamo katika mashaka ... mipango ya shirika la misaada la Marekani USAID nao wanahofia kwamba hali yao ya maisha ...