Maafisa wa Uganda wanajiandaa kupeleka chanjo ya majaribio kama sehemu ya juhudi za kukomesha mlipuko wa Ebola katika mji mkuu, Kampala, afisa mkuu wa afya amesema siku ya Jumapili. Kundi la ...