Maafisa wa Uganda wanajiandaa kupeleka chanjo ya majaribio kama sehemu ya juhudi za kukomesha mlipuko wa Ebola katika mji mkuu, Kampala, afisa mkuu wa afya amesema siku ya Jumapili. Kundi la ...
Wafanyakazi hao watatoa msaada wa kiufundi na vifaa kwa Wizara ya Afya ya Uganda, WHO imesema katika taarifa iliyotolewa mjini Kampala. Wizara ilitangaza mlipuko wa Ebola siku ya Alhamisi baada ya ...