Wizara ya afya ya Uganda imetangaza Alhamisi kuwa Kampala inakabiliwa na mlipuko wa Ebola ambao umesababisha kifo cha mtu mmoja katika mji mkuu, Kampala. "Mlipuko unaosababishwa na ugonjwa wa ...